Jambo

Jirani Children's Choir

Jambo! jambo bwana! habari gani?
mzuri sana; Wageni, mwakaribishwa;
Kenya yetu, Hakuna matata;

1. Kenya nchi nzuri : Hakuna matata;
Nchi ya kupendeza : Hakuna matata;
Nchi ya maajabu : Hakuna matata;

2. Kenya nchi nzuri ; Hakuna matata,
Nchi yenye furaha ; Hakuna matata
Mwakaribishwa ; Hakuna matata

3. Kenya nchi nzuri ; Hakuna matata,
Nchi yenye amani ; Hakuna matata
Wakenya wote ; Hakuna matata

관련 가사

가수 노래제목  
Jirani Children's Choir Jambo (안녕)  
Jirani Children's Choir Hakuna Mungu Kama Wewe (주님과 같은 분은 없습니다)  
Safari Sound Band Jambo Jambo  
Children's Choir My Christmas Tree Home Alone  
Scatman John Mambo jambo  
Mohombi Say Jambo  
La Excepcion Jambo Loco  
ARCHONTES Children's Crusade  
J-FRIENDS Children's Holiday  
Various Artists Children's Story  




가사 수정 / 삭제

댓글목록

등록된 댓글이 없습니다.